Teacher Msauzi

Teacher Msauzi

Teacher Msauzi ni kijana wa Kitanzania ambaye amefanikiwa kusafiri na kutembea na kuishi katika nchi mbalimbali ambapo amekutana na watu wa tabia na misimamo mbalimbali. Kuna msemo wa kiswahili unaosema MSAFIRI KAFIRI hivyo kutokana na Teacher Msauzi kusafiri mara kwa mara basi jina hili ndio ikawa kauli mbiu ya Teacher Msauzi. Mengi yanakuja kupitia podcast hii na platform nyingine. Huu ni mwanzo tu na ninahitaji maoni yako ili kuboresha podcast hii

Listen on Apple Podcasts

Recent Episodes

Apr 14, 2021

Msafiri kafiri S1 E2 : Zifahamu nchi ambazo Mtanzania anaingia bila Visa.!

S1 E2 • 18 mins

Apr 12, 2021

Msafiri Kafiri S1 E1 : Timbwili kati ya Rayvany na Harmonise na Maoni ya Wadau

S1 E1 • 33 mins

Apr 11, 2021

Teacher Msauzi (Trailer)

1 mins

Language
Swahili
Country
Senegal